Thursday, June 10, 2021

MATUKIO KATIKA PICHA: Hotuba Ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba inayowasilishwa leo Bungeni, jijini Dodoma

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba akionyesha Mkoba wa Bajeti Kuu ya Serikali yenye mapendekezo ya mpango wa tatu wa maendeleo wa taifa wa miaka mitano 2021/22 – 2025/26, inayowasilishwa hivi sasa, Bungeni jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba akiingia bungeni tayari kwa kuwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali yenye mapendekezo ya mpango wa tatu wa maendeleo wa taifa wa miaka mitano 2021/22 – 2025/26  
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasilisha bungeni Bajeti Kuu ya Serikali yenye mapendekezo ya mpango wa tatu wa maendeleo wa taifa wa miaka mitano 2021/22 – 2025/26.  






























No comments :

Post a Comment