Rais Samia azungumza kwa njia ya simuna Rais Xi Jinping wa China.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya Simu na Rais wa China Xi
Jinping Ofisini kwake Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 21 Juni, 2021. PICHA
NA IKULU
No comments :
Post a Comment