Tuesday, June 1, 2021

RAIS SAMIA AWASILI JIJINI DODOMA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe 1 Juni, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe 1 Juni, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe 1 Juni, 2021.

 

No comments :

Post a Comment