Mhadhiri
Msaidizi kutoka idara ya Taaluma za kazi (Labour Studies) Sarah Mbasha
(Aliyeshika kipeperushi ) akifafanua jambo kuhusu kozi zinazotolewa na
Taasisi kwa Wateja waliofika katika banda la Taasisi ya Ustawi wa Jamii
kupata elimu na huduma Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Mhadhiri wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii idara ya Menejienti ya Rasilimali watu Dkt. Charles Ngirwa akimuhudumia mteja aliyefika katika Banda la Taasisi kupata huduma.
No comments :
Post a Comment