RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na kuagana na
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea
Nchini Msumbuji kuhudhuria Mkutano wa SADC unaotarajiwa kufanyika kesho
Jijini Maputo Msumbiji.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Serikali katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini
Msumbiji kuhudhuria Mkoato wa SADC unaotarajiwa kufanyika kesho Jijini
Maputo Msumbiji.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakisalimiana na Wakuu wa Vyombo
vya Ulinzi na Usalama Zanzibar, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Abeid Amani Karume Zanzibar,wakati akielekea Nchini Msumbuji kuhudhuria
Mkutano wa SADC unaotarajiwa kufanyika kesho Jijini Maputo.(Picha na
Ikulu)
No comments :
Post a Comment