Wednesday, May 26, 2021

RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN ALI MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI MDOGO WA INDIA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi Mdogo wa India anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Bhagwant Singh, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi Mdogo wa India anayefanyika kazi zake Zanzibar.Mhe.Bhagwant Singh, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu.)

 

No comments :

Post a Comment