Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Kikao na viongozi
mbalimbali wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (Tanzania Private Sector
Foundation) kilichofanyika leo tarehe 31 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es
Salaam. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na
viongozi mbalimbali wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (Tanzania
Private Sector Foundation) mara baada ya Kikao chao kilichofanyika leo
tarehe 31 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na baadhi ya viongozi mbalimbali (Wanawake) wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (Tanzania Private Sector Foundation) mara baada ya Kikao chao kilichofanyika leo tarehe 31 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi mbalimbali (Wanaume) wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (Tanzania Private Sector Foundation) mara baada ya Kikao chao kilichofanyika leo tarehe 31 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment