Tuesday, May 18, 2021

MAREKANI YAAHIDI KUENDELEZA MASHIRIKIANA NA ZANZIBAR KATIKA KUIMARISHA AFYA ZA WANANCHI WAKE

Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui akizungumza na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Donald Wright alipofika Ofisini kwake Mnazimmoja Mjini Zanzibar.
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Donald Wright akiagana na Waziri Nassor Mazrui baada ya mazungumzo yao yaliofanyika Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Mnazimmoja.

 

No comments :

Post a Comment