Katika mazungumzo yao wameongelea maeneo ya mashirikiano ikiwemo kuboresha afya ya watanzania pamoja na kuwawezesha vijana wa Tanzania kiuchumi.
Katika kikao hicho kilihudhuriwa na Manaibu Waziri Dkt.Godwin Mollel, Mhe. Mwanaidi Khamis pamoja na Katibu Mkuu-Afya Prof. Abel Makubi na Kamishana wa Ustawi wa Jamii Dkt. Naftali Ng'ondi.
No comments :
Post a Comment