
Waziri Kabudi akiwa ofisini kwake pamoja na
viongozi wengine wa Wizara hiyo. Kulia ni Naibu Waziri Geophrey Pinda,
kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ndg. Amon Mpanju na wa pili kutoka kushoto
ni Katibu Mkuu Prof. Sifuni Mchome.
Waziri wa Katiba na Sheria
Prof. Palamagamba Kabudi apokelewa wizarani hapo leo baada ya kuapishwa
kuiongoza wizara hiyo baada ya mabadiliko madogo ya baraza la Mawaziri
lililofanywa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan. 
Waziri Kabudi akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria.

Waziri Kabudi akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisini kwake Wizara ya Katiba na Sheria.
No comments :
Post a Comment