
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(katikati) akizungumza na Ugeni wa Wabunge wanne kutoka Bunge la Uganda
waliotembelea Bunge la Tanzania mapema leo. Wa kwanza kulia ni Kiongozi
wa Msafara huo Mhe. Jacquiline Amongin, anayefuatia Mhe. Bangirana
Anifa Kawooya na wa kwanza kushoto ni Mhe. Elijah Okupa na anayefuatia
ni Mhe. Felix Okoto Ogong. 
Kiongozi wa Msafara wa Wabunge
wanne kutoka Bunge la Uganda Mhe. Jacquiline Amongin (kulia) akiukabidhi
ujumbe kutoka kwa Spika wa Bunge la Uganda Mhe. Rebbeca Kadaga kwa
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai wakati walipotembelea Bunge la Tanzania
mapema leo. 
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na Ugeni wa Wabunge wanne kutoka Bunge la Uganda waliotembelea Bunge la Tanzania mapema leo. Kutoka kulia ni Mhe. Felix Okoto Ogong, Mhe. Bangirana Anifa Kawooya, Mhe. Jacquiline Amongin na Mhe. Elijah Okupa.
PICHA NA BUNGE
No comments :
Post a Comment