Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Marekani
nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Donald Wright alipomtembelea leo ofisini
kwake Bungeni Jijini Dodoma. Dhumuni la miadi hiyo ni kumsalimu na
kujadili masuala Mbalimbali ya ushirikiano wa kisekta kati yao na Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Ubalozi wa Marekani nchini ulioongozwa na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Donald Wright (wapili kushoto) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Kulia ni Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai. Dhumuni la miadi hiyo ni kumsalimu na kujadili masuala Mbalimbali ya ushirikiano wa kisekta kati yao na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
No comments :
Post a Comment