
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Mkuu
Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Ndg.Amour Hamil
Bakari, wakati wa ziara yake kutembelea ujenzi wa jengo jipya la Abiria
la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi
Mhe. Rahma Kassim Ali na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais
Fedha na Mipango Zanzibar Dkt.Juma Malik.(Picha na Ikulu) 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea Jengo jipya la Abiria la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kuangalia maendeleo ya ujenzi huo leo 14-4-2021, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Rahma Kassim Ali na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea jengo jepya la
Abiria la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
Zanzibar,akimsikiliza Msimamizi wa Ujenzi wa Serikali wa jengo hilo
Mhandisi Yassir De Coster wakati wa ziara yake leo 14—4-2021.(Picha na
Ikulu) 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea jengo jipya la
Abiria la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu
Mkuu Kiongozi.Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu) 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali baada ya kumaliza ziara yake kutembelea jengo jipya la Abiria la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment