Wednesday, April 14, 2021

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza  na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 14, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri wa Mawasiliano na Tekinolojia , Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI, David Silinde, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2021.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

No comments :

Post a Comment