Wednesday, April 14, 2021

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Oman Mhe.Abdalla Abbas Kilima, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 14-4-2021, mazungumzo hayu yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Balozi wa Tanzania Nchini Oman Mhe. Abdalla Abbas Kilima, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

 

No comments :

Post a Comment