RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid Assalaam Mlandege Jijini Zanzibar alipowasili katika viwanja vya msikiti huo kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Insha na Tarawekh iliofanyika katika Masjid hiyo jana usiku 15-4-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Kiislam katika Ibada ya Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Masjid Assalaam Mlandege Jijini Zanzibar jana usiku.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Imamu Mkuu wa Masjid Assalaam Mlandege Sheikh Abubakar Mbarak Mumin (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh iliofanyika jana usiku 15-4-2021,katika Masjid Assalaam na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Imamu Mkuu wa Masjid Asaalaam Mlandege Sheikh Abubakar Mbarak Mumin, baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika katika masjid hiyo jana usiku 15-4-2021.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment