Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb),
akiwasilisha bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa
wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26, jijini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (Mb),
akijibu swali la Mbunge wa Jangómbe, Mhe. Ali Hassan Omar King kuhusu
wajibu wa kumlipa mteja anayeibiwa fedha kwenya akaunti ya benki muda
mchache kabla ya uwasilishaji wa Mapendekezo ya Mpango wa Tatu wa
Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26, bungeni jijini
Dodoma.
Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akifurahia
jambo na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo na Mlipaji Mkuu wa Serikali, Bw.
Emmanuel Tutuba baada ya kuwasilisha Mapendekezo ya Mpango wa Tatu wa
Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26, kulia ni baadhi ya
viongozi wa Wizara hiyo, bungeni jijini Dodoma. Picha na Kitengo cha
Mawasiliano Serikalini WFM.
Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza
na baadhi ya viongozi wa Wizara hiyo baada ya kuwasilisha bungeni
Mapendekezo ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano
2021/22 – 2025/26, jijini Dodoma.
Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb),
akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara wa Fedha na Mipango, Bi.
Amina Khamis Shaaban, baada ya kuwasilisha bungeni Mapendekezo ya Mpango
wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26, jijini
Dodoma.
No comments :
Post a Comment