Friday, April 30, 2021

BOT GOVERNOR LAUDS STAMICO FOR GOLD REFINERY

 

Bank of Tanzania Governor Prof. Florens Luoga witnessing the developments of  Mwanza Precious Minerals plant including trial production during his visit at the gold refinery, in Mwanza city on Friday.

Bank of Tanzania Governor Prof. Florens Luoga has commended the State Mining Corporation (Stamico) for enabling Tanzania to start gold refining to international

Wajumbe wa bodi ya zabuni na watumishi wa kitengo cha Ununuzi na Ugavi wa JKCI wapewa mafunzo ya Sheria ya Ununuzi wa Umma na kanuni zake

Afisa Ununuzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Leah Komba akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi mara baada ya kuhitimu mafunzo ya siku nne ya Sheria ya Ununuzi wa Umma na kanuni zake yaliyotolewa na Mamlaka ya udhibiti wa ununuzi wa umma (PPRA) kwa wajumbe wa bodi ya zabuni na watumishi wa kitengo cha Ununuzi na Ugavi wa Taasisi hiyo.
Mhasibu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete ambaye pia ni mjumbe wa bodi ya zabuni ya JKCI Reuben Nyiti akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi mara baada ya kuhitimu mafunzo ya siku nne ya Sheria ya Ununuzi wa Umma na kanuni zake yaliyotolewa na Mamlaka ya udhibiti wa ununuzi wa umma (PPRA) kwa wajumbe wa bodi ya zabuni na watumishi wa kitengo cha Ununuzi na Ugavi kwa wafanyakazi wa Taasisi hiyo.
Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete ambaye pia ni mjumbe wa bodi ya zabuni ya JKCI Godwin Sharau akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi mara baada ya kuhitimu mafunzo ya siku nne ya Sheria ya Ununuzi wa Umma na kanuni zake yaliyotolewa na Mamlaka ya udhibiti wa ununuzi wa umma (PPRA) kwa wajumbe wa bodi ya zabuni na watumishi wa kitengo cha Ununuzi na Ugavi wa Taasisi hiyo.
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Mary Haule ambaye pia ni mjumbe wa bodi ya zabuni ya JKCI akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi mara baada ya kuhitimu mafunzo ya siku nne ya Sheria ya Ununuzi wa Umma na kanuni zake yaliyotolewa na Mamlaka ya udhibiti wa ununuzi wa umma (PPRA) kwa wajumbe wa bodi ya zabuni na watumishi wa kitengo cha Ununuzi na Ugavi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete.
Mkurugenzi wa Kujenga Uwezo na Ushauri wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) Mhandisi Mary Swai akizungumza na wajumbe wa bodi ya zabuni na watumishi wa kitengo cha Ununuzi na Ugavi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa mafunzo ya siku nne ya Sheria ya Ununuzi wa Umma na kanuni zake yaliyotolewa kwa wafanyakazi wa Taasisi hiyo. Kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi.

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya zabuni na watumishi wa kitengo cha Ununuzi na Ugavi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) baada ya kumalizika kwa mafunzo ya siku nne ya Sheria ya Ununuzi wa Umma na kanuni zake. Wapili kulia waliokaa ni Mkurugenzi wa Kujenga Uwezo na Ushauri wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) Mhandisi Mary Swai. Picha na JKCI

 

WIZARA YA MADINI YAANZA KUSUKA MIKAKATI YA KUKUSANYA SH.BIL 650 MWAKA 2021/22

Siku moja tu baada ya Bajeti ya Wizara ya Madini kupitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa

Serikali imefunga mtambo wa kisasa JKCI wenye thamani ya shilingi bilioni 4.6

Wataalamu wabobezi wa moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimzibua mgonjwa mishipa miwili ya damu ya moyo ambayo ilikuwa imeziba na kushindwa kupitisha damu vizuri. Uzibuaji huo umefanyika kwa kutumia mtambo mpya wa kisasa wa (Catheterization Laboratory – Cathlab) uliounganishwa na mtambo wa  Carto 3 System 3D &  mapping electrophysiology System wenye uwezo wa kufanya uchunguzi, kufunga vifaa visaidizi vya moyo, kuzibua mishipa ya damu ya moyo  na  kutibu hitilafu ya mfumo wa umeme  wa moyo.

Wataalamu wabobezi wa moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimzibua mgonjwa mishipa miwili ya damu ya moyo ambayo ilikuwa imeziba na kushindwa kupitisha damu vizuri. Uzibuaji huo umefanyika kwa kutumia mtambo mpya wa kisasa wa (Catheterization Laboratory – Cathlab) uliounganishwa na mtambo wa  Carto 3 System 3D &  mapping electrophysiology System  ambao Serikali umeununua  kwa gharama ya shilingi bilioni 4.6.

********************************

Na Mwandishi Maalum – Dar es Salaam

30/04/2021 Serikali imefunga mtambo wa kisasa wenye thamani ya shilingi bilioni 4.6 wa uchunguzi

GAVANA LUOGA AIPONGEZA STAMICO KUANZA KUSAFISHA DHAHABU


Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga, akiangalia dhahabu iliyosafishwa kufikia kiwango cha 999.9 (purity) wakati alipotembelea kiwanda cha Mwanza Precious Minerals Limited. Kushoto kwake ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Bw. Venance Mwasse.
 
Benki Kuu ya Tanzania imelipongesha Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwa hatua iliyofikia ya kuanza usafishaji wa dhahabu hapa nchini kwa ...

Mining revenue set to climb 27percent next fiscal year: Biteko


ing pic

Minerals minister Dotto Biteko tables the budget estimates for his ministry in Parliament in Dodoma yesterday. He asked the august House to approve a total of Sh66.816 billion as the ministry’s budget for the next financial year. PHOTO | EDWIN MJWAHUZI

By Jacob Mosenda

Dar es Salaam. Revenue collection from mining is projected to rise by 27.15 percent in the next

KAMPUNI YA GREEN MILE SAFARI YAREJESHEWA KITALU CHA LAKE NATRON EAST.

Na Mwandishi Wetu - Dodoma

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ametoa hukumu ya Kitalu cha uwindaji cha cha Lake Natron East kilichoko wilayani Longido mkoani Arusha na kuagiza kampuni ya Green Mile Safari irejeshewe leseni ya umiliki wa kitalu hicho iliyofutwa mwaka 2019.

Akitoa maamuzi hayo Dkt. Ndumbaro amesema kitalu hicho kinarejeshwa kwa Kampuni hiyo hadi mwaka 2022 kufuatia kufanyika kwa maombi ya mapitio ya hukumu iliyoifanya Kampuni ya Green Mile ifutiwe umiliki wa kitalu hicho.

 Aidha,Dkt. Ndumbaro amesema kufuatia uchambuzi uliofanyika kuhusu uamuzi wa kufutiwa umiliki wa kitalu cha Lake Natron – East, amejiridhisha kuwa malalamiko ya muomba mapitio ambayo ni kampuni ya Green Mile Safari yana msingi wa kisheria, na barua ya Mhe. Waziri ya kufuta umiliki wa kitalu haikuzingatia sheria na misingi ya utawala bora

“Iandaliwe rasimu itakayotumiwa katika umilikishaji wa vitalu itakayoonesha masharti ya kufuata ‘Terms and condition’ za kufuatwa na wawekezaji wakati wote wa umiliki wa kitalu cha uwindaji na kuwepo kwa umakini wakati wa kuandika nyaraka za kiofisi, ili kujiepusha na ukinzani wa sheria na taratibu zilizopo”, amesisitiza Dkt. Ndumbaro

Waziri Ndumbaro ameiagiza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) iweke utaratibu wa kushughulikia migogoro haraka pindi inapojitokeza kuepusha hali iliyojitokeza.

Amesema mgogoro huo ulizorotesha ustawi wa uhifadhi na biashara ya Utalii, kuchafua taswira ya Tanzania katika tasnia ya uwindaji wa kitalii na kupunguza michango maendeleo kwa wananchi hivyo ni vyema TAWA ikahakikisha kuwa sheria, kanuni na miongozo inazingatiwa katika kusimaia sekta ya uwindaji wa kitalii.

“ Naishukuru Kamati ya ushauri kwa kazi nzuri waliyoifanya kwa kunishauri katika kufikia uamuzi wa suala hili kwa mujibu wa kifungu cha 38(15) cha Sheria ya Wanyamapori Na.5 ya mwaka 2009. Mtu yoyote ambaye hajaridhika na uamuzi huu, ana haki ya kukata rufaa kwa mujibu wa kifungu cha 38(16) cha Sheria ya Wanyamapori Na.5 ya mwaka 2009”.

Katika hatua nyingeine Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ndumbaro amewaagiza viongozi wa Mkoa wa Arusha na Wilaya ya Longido kusimamia maamuzi ya Serikali katika suala hilo la kurejeshwa kwa leseni ya Kampuni ya Green Mile Safari katika Kitalu cha uwindaji cha Lake Natron – East.

Kabla ya kutoa uamuzi huo Dkt. Ndumbaro alifanya ziara katika eneo la kitalu hicho na kuzungumza na wananchi ambapo alijionea hali halisi ya kitalu chicho na rasilimali zilizopo katika eneo hilo la Kitalu pia alisikiliza pande zote zinazoguswa na mgogoro huo kabla ya kutoa uamuzi wake.




 

PATA VICHWA VYA HABARI KUTOKA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MEI MOSI, 2021













REVIEW OF CONTROVERSIAL LAWS IS THE RIGHT DECISION

editoon apri 30 21Mlimba MP Godwin Kunambi tickled fellow lawmakers’ ribs in Parliament on Wednesday when he challenged Constitutional and Legal Affairs minister Palamagamba Kabudi to spend a night in one of

TIC defies ‘Covid odds’ in Sh2.3trn projects

TIC PIC
By The Citizen Reporter

StanChart deepens clients’ confidence in Q-1

stan pic

Standard Chartered Bank Tanzania Chief Financial Officer Rayson Foya.

By The Citizen Reporter

Dar es Salaam. Standard Chartered Bank Tanzania has recorded a significant increase in customers

Hope for small-scale miners as banks confident in sector

SMEs pic

A small-scale miner drills for tanzanite in northern Tanzania. Minerals are a major contributor to Tanzania’s economy. Financial institutions have expressed increased confident in lending out to players in the sector after regulatory changes. PHOTO | FILE

By Halili Letea

Mining revenue set to climb 27percent next fiscal year: Biteko

ing pic

Minerals minister Dotto Biteko tables the budget estimates for his ministry in Parliament in Dodoma yesterday. He asked the august House to approve a total of Sh66.816 billion as the ministry’s budget for the next financial year. PHOTO | EDWIN MJWAHUZI

By Jacob Mosenda

Dar es Salaam. Revenue collection from mining is projected to rise by 27.15 percent in the next

African countries commit to double agricultural productivity as development banks, institutions pledge US$17 billion to increase food se

Logo, company name

Description automatically generated


 

African countries commit to double agricultural productivity as development banks, institutions pledge US$17 billion to increase food security

IFAD said it aimed to provide an additional US$1.5 billion to Africa to support national efforts to transform food and agricultural systems over the next three years

Kenyan MPs probe sale of troubled Spire Bank to teachers

Spire Bank.

A Spire Bank branch in Nairobi. PHOTO | FILE | NMG

By JAMES ANYANZWA

Kenyan lawmakers have opened an investigation into the controversial sale of the troubled Spire Bank to Mwalimu National Sacco (MNS) in a deal estimated at over Ksh3 billion ($28 million).

Total suspends gas project in Mozambique over Palma attack

Total.

Total suspends work on $20 billion natural gas project in Mozambique’s northern Cabo Delgado province following militant attacks close to its site. PHOTO | FILE | NMG

By KENNEDY SENELWA

Total SE of France has declared an indefinite suspension of work on $20 billion natural gas project in Mozambique’s northern Cabo Delgado province due to militant attacks close to its site.

EU suggests alternative methods in Nigeria's fight against Boko Haram

Weapons seized from Boko Haram

Arms and ammunitions recovered from Boko Haram jihadists are displayed at the headquarters of the 120th Battalion in Goniri, Yobe State, in Nigeria's restive northeast, on July 3, 2019. PHOTO | AFP

WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA NA KUKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA NSSF JIJINI MWANZA


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (kulia) akikagua maendeleo ya ujenzi wa Hoteli ya Nyota Tano “Mwanza Tourist Hotel” iliyopo eneo la Capripont Jijini Mwanza Aprili 30, 2021. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Bw. Tixon Nzunda, Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa NSSF, Bw. Masha Mshomba.

Mhandisi wa Mradi NSSF, Bw. Suleiman Salmin (kushoto) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama alipotembelea eneo la mradi kwa lengo la kukagua maendeleo ya ujenzi wa Hoteli ya Nyota Tano “Mwanza Tourist Hotel” iliyopo eneo la Capripont Jijini Mwanza.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akisisitiza jambo kuhusu uendelezwaji wa mradi huo wakati wa kikao kazi cha kupokea taarifa ya utekelezaji wa mradi unaosimamiwa na NSSF wa Ujenzi wa Hoteli ya Nyota Tano iliyopo Jijini Mwanza.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bw. Tixon Nzunda (kulia) akieleza jambo wakati wa kikao hicho.

Sehemu ya Watendaji kutoka NSSF na Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia maelekezo ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) alipotembelea mradi huo wa ujenzi wa Hoteli ya Nyota Tano “Mwanza Tourist Hotel” iliyopo eneo la Capripont Jijini Mwanza.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bw. Tixon Nzunda (kulia) na Naibu wake Prof. Jamal Katundu (kushoto) wasikiliza maelekezo ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi hicho.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa NSSF Bw. Masha Mshomba akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama alipotembea na kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Hoteli ya Nyota Tano “Mwanza Tourist Hotel” iliyopo eneo la Capripont Jijini Mwanza.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akitoa maelekezo kwa Katibu Mkuu wa ofisi hiyo Bw. Tixon Nzunda (kushoto), Naibu Katibu wake Prof. Jamal Katundu pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa NSSF Bw. Masha Mshomba wakati wa majumuisho ya ziara yake.

Muonekano wa jengo la Hoteli ya Nyota Tano “Mwanza Tourist Hotel” iliyopo eneo la Capripont Jijini Mwanza.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akiwa kwenye picha ya pamoja na Watendaji kutoka Ofisi yake na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF alipotembelea na kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Hoteli ya Nyota Tano “Mwanza Tourist Hotel” iliyopo eneo la Capripont Jijini Mwanza.

PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU

(SERA, BUNGE, URATIBU, KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU)