Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride
la Heshma lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) baada
ya kuapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano kipindi cha pili katika hafla
iliyofanyika leo tarehe Machi 19, 2021 katika Ikulu ya Magogoni Mkoa wa
Dar es Salaam. Ikiwa Hafla iliyofanyika kwa majonzi kwa sababu ya Rais
Dkt. John Pombe Magufuli kufariki dunia Machi 17, 2021 katika Hospitali
ya Mnzena Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan akipokea salamu za kutoka kwa kiongozi wa kikundi cha Gwaride la Heshma lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) leo Machi 19, 2021.
Aliyekuwa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan
akiapa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Machi 19, 2021.
No comments :
Post a Comment