Friday, March 19, 2021

Balozi wa Rwanda hapa Tanzania, Meja Jenerali Charles Karamba akisaini kitabu cha maombolezo leo


Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Meja Jenerali Charles Karamba akisaini kitabu cha maombolezo leo katika ukumbi Karimjee jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Joseph Magufuli.

 

No comments :

Post a Comment