Monday, March 1, 2021

RAIS DK.MWINYI AMTEUA OTHMAN MASOUD SHARIF KUWA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR

Othman Masoud ameteuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

Othman Masoud ateuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, kuchukua nafasi ya Maalim Seif Sharif Hamad aliyefariki tarehe 17 Februari mwaka huu.

 

No comments :

Post a Comment