Summary
- The outrage came after Volkswagen just a day earlier said in a press release it would be changing the name of its US subsidiary to "Voltswagen" to highlight its shift towards electric cars.
Buhari, 78, has made several trips to London since he came to power in 2015 and was re-elected for another four-year term in 2019.
Lagos. Critics of Nigerian President Muhammadu Buhari have launched an outcry after he flew to London for a medical visit, highlighting his frequent trips abroad for treatment and the country's ramshackle health system.
WAZIRI wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako,akizungumza na watumishi wa wizara hiyo wakati wa hafla ya kukabidhi Magari 38 kwa wadhibiti ubora wa shule za Kanda na Wilaya iliyofanyika leo Machi 31,2021 jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe Omary Kipanga,akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Magari 38 kwa wadhibiti ubora wa shule za Kanda na Wilaya iliyofanyika leo Machi 31,2021 jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Bw.Moshi Kabengwe,akieleze mikakati wakati wa hafla ya kukabidhi Magari 38 kwa wadhibiti ubora wa shule za Kanda na Wilaya iliyofanyika leo Machi 31,2021 jijini Dodoma.
Baadhi ya Watumishi wakifatilia Hotuba ya Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako,wakati wa hafla ya kukabidhi Magari 38 kwa wadhibiti ubora wa shule za Kanda na Wilaya iliyofanyika leo Machi 31,2021 jijini Dodoma.
Baadhi ya Magari yaliyotolewa kwa wadhibiti ubora wa shule za Kanda na Wilaya iliyofanyika leo Machi 31,2021 jijini Dodoma.
WAZIRI wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako,akikata utepe kuashiria ugawaji wa Magari 38 kwa wadhibiti ubora wa shule za Kanda na Wilaya iliyofanyika leo Machi 31,2021 jijini Dodoma.
WAZIRI wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako,akiingia kwenye gari mara baada ya kukabidhi Magari 38 kwa wadhibiti ubora wa shule za Kanda na Wilaya iliyofanyika leo Machi 31,2021 jijini Dodoma.
WAZIRI wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako,akiwa ndani ya gari akienda mara baada ya kuwakabidhi Magari 38 wadhibiti ubora wa shule za Kanda na Wilaya iliyofanyika leo Machi 31,2021 jijini Dodoma.
WAZIRI wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako,akimkabidhi ufunguo wa gari Mdhibiti Mkuu ubora wa Shule Kanda ya Ziwa Bw.Victor Bwindiki mara baada ya kuwakabidhi Magari 38 wadhibiti ubora wa shule za Kanda na Wilaya iliyofanyika leo Machi 31,2021 jijini Dodoma.
WAZIRI wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako,akiwa na Naibu wake Mhe Omary Kipanga wakimsikiliza Mdhibiti Mkuu ubora wa Shule Kanda ya Ziwa Bw.Victor Bwindiki wakati akitoa neno la shukrani mara baada ya Waziri Kukabidhi Magari 38 kwa Wadhibiti Ubora wa Shule za Kanda na Wilaya hafla iliyofanyika leo Machi 31,2021 jijini Dodoma.
……………………………………………………………………………..
Na.Alex Sonna,Dodoma
WAZIRI wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako ,amekabidhi magari 38 kwa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango kwa mara ya kwanza amewasili Ofisini kwake Ikulu Chwamwino na kuzungumza na Viongozi wa Ofisi yake mara baada ya Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma kumuapisha kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo March 31,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma kumuapisha Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo March 31,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Mabadiliko hayo ameyafanya hii leo katika Ikulu ya Chamwino Jijini Dodoma wakati wa hafla ya kumuapisha makamu mpya wa Rais wa nchi hiyo. Mwandishi wetu.
Motorists will be able to receive claims if involved in an accident past curfew hours, the insurance regulator has clarified putting to rest earlier reports by the industry players.
The Capital Markets Authority (CMA) has fined four former directors of microlender Real People a