Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama,akizungumza wakati akifungua mafunzo ya Mpango Mkakati wa Usimamizi wa Sheria za Kazi yenye lengo la kuwajengea uwezo na uelewa washiriki hao yanayofanyika leo Februari 15,2021 jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama,akisisitiza jambo kwa washiriki wa mafunzo (hawapo pichani) wakati akifungua mafunzo ya Mpango Mkakati wa Usimamizi wa Sheria za Kazi yenye lengo la kuwajengea uwezo na uelewa washiriki hao yanayofanyika leo Februari 15,2021 jijini Dodoma.
NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Patrobas Katambi,akiwasisitiza washiriki wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Mpango Mkakati wa Usimamizi wa Sheria za Kazi yenye lengo la kuwajengea uwezo na uelewa washiriki hao yanayofanyika leo Februari 15,2021 jijini Dodoma.
Muwakilishi wa ILO Bw. Maridadi Phanuel akizungumza wakati wa mafunzo ya Mpango Mkakati wa Usimamizi wa Sheria za Kazi yenye lengo la kuwajengea uwezo na uelewa washiriki hao yanayofanyika leo Februari 15,2021 jijini Dodoma.
Kamishna wa Kazi Brigedia Jenerali Francis Mbindi,akiwasilisha taarifa kwa washiriki wa mafunzo ya Mpango Mkakati wa Usimamizi wa Sheria za Kazi yenye lengo la kuwajengea uwezo na uelewa washiriki hao yanayofanyika leo Februari 15,2021 jijini Dodoma.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo wakifatilia hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama,wakati akifungua mafunzo ya Mpango Mkakati wa Usimamizi wa Sheria za Kazi yenye lengo la kuwajengea uwezo na uelewa yanayofanyika leo Februari 15,2021 jijini Dodoma.
PICHA ZOTE NA ALEX SONNA-FULLSHANGWE BLOG
No comments :
Post a Comment