Monday, February 15, 2021

KANISA LA KKKT DAYOSISI KUSINI MASHARIKI YA ZIWA VICTORIA LAPATA VIONGOZI WAPYA

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Dk. Emmanuel Joseph Makala akimungiza kazini Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Yohana Ernest Nzelu (katikati)

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Dk. Emmanuel Joseph Makala akizungumza wakati wa Ibada ya Kuingizwa Kazini Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Yohana Ernest Nzelu na kusimika Wakuu wa Majimbo 9 ya Dayosisi hiyo na wajumbe wa halmashauri kuu leo Jumapili Februari 14,2021 katika kanisa Kuu la KKKT Ebenezer Mjini Shinyanga. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

Mkuu wa wilaya ya Kishapu, Mhe. Nyabaganga Daudi Talaba akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Mhe. Zainab Telack wakati wa Ibada ya Kuingizwa Kazini Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Yohana Ernest Nzelu na kusimika Wakuu wa Majimbo 9 ya Dayosisi hiyo na wajumbe wa halmashauri kuu leo Jumapili Februari 14,2021 katika kanisa Kuu la KKKT Ebenezer Mjini Shinyanga.

Katibu Mkuu wa KKKT Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria, Happiness Gefi akitoa maelekezo wakati wa Ibada ya Kuingizwa Kazini Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Yohana Ernest Nzelu na kusimika Wakuu wa Majimbo 9 ya Dayosisi hiyo na wajumbe wa halmashauri kuu leo Jumapili Februari 14,2021 katika kanisa Kuu la KKKT Ebenezer Mjini Shinyanga.
Ibada ikiendelea
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Dk. Emmanuel Joseph Makala akimungiza kazini Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Yohana Ernest Nzelu (kulia)
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Dk. Emmanuel Joseph Makala akimungiza kazini Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Yohana Ernest Nzelu

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Dk. Emmanuel Joseph Makala akimkabidhi Biblia Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Yohana Ernest Nzelu (kulia)
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Dk. Emmanuel Joseph Makala akimkabidhi Mwongozo wa Kanisa Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Yohana Ernest Nzelu (kulia)
Ibada ya kumuingiza Kazini Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Yohana Ernest Nzelu (kulia) ikiendelea
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Dk. Emmanuel Joseph Makala akimpongeza Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Yohana Ernest Nzelu (kulia) baada ya kumuingiza kazini
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Dk. Emmanuel Joseph Makala na Wachungaji wakimuombea Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Yohana Ernest Nzelu
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Dk. Emmanuel Joseph Makala akimpongeza Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Yohana Ernest Nzelu (kushoto)
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Dk. Emmanuel Joseph Makala akimuombea Mke wa Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Yohana Ernest Nzelu, Bi. Lilian
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Dk. Emmanuel Joseph Makala akimtambulisha Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Yohana Ernest Nzelu (wa pili kushoto) kwa Uongozi wa Mkoa wa Shinyanga (Mkuu wa wilaya ya Kishapu, Mhe. Nyabaganga Talaba (kulia) aliyemwakilisha Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Mhe. Zainab Telack
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Dk. Emmanuel Joseph Makala akizungumza kanisani. Kulia ni Mchungaji Trafaina Nkya ambaye amestaafu nafasi ya Msaidizi wa Askofu kanisa hilo.
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Dk. Emmanuel Joseph Makala akiwaingiza kazini Wachungaji 9  wapya wa Majimbo katika Dayosisi hiyo.

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Dk. Emmanuel Joseph Makala akiwaingiza kazini  Wajumbe wa Halmashauri Kuu
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Dk. Emmanuel Joseph Makala akiwaingiza kazini  Wajumbe wa Halmashauri Kuu
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Dk. Emmanuel Joseph Makala akiwabariki Wajumbe wa Halmashauri Kuu
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Dk. Emmanuel Joseph Makala akiwaingiza kazini  Wajumbe wa Halmashauri Kuu
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Dk. Emmanuel Joseph Makala akiwaaga Wajumbe wa Halmashauri Kuu ambao muda wao umemalizika
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Dk. Emmanuel Joseph Makala akiwaingiza kazini Mashemasi wawili ambao ni Joseph Nkangala na Hubert Teghama (kulia) kuwa Wachungaji
Msaidizi wa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria, Mchungaji Yohana Ernest Nzelu akizungumza kanisani.
 
Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

Askofu wa
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki ya
Ziwa Victoria Dk. Emmanuel Joseph Makala ameongoza Ibada ya Kuingizwa Kazini
Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Yohana Ernest Nzelu na kusimika Wakuu wa
Majimbo 9 ya Dayosisi hiyo.

Askofu
Makala pia ameongoza ibada ya kuingizwa kazini wajumbe wa Halmashauri Kuu ya
Dayosisi, kubariki wachungaji wawili ambao ni Joseph Nkangala na Hubert Teghama
na kuaga wajumbe wa halmashauri kuu waliomaliza muda wao wa miaka nane kazini.

Ibada hiyo
imefanyika leo Jumapili Februari 14,2021 katika kanisa Kuu la KKKT Ebenezer
Mjini Shinyanga ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa wilaya ya Kishapu, Mhe.
Nyabaganga Daudi Talaba kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Mhe. Zainab
Telack.

Akizungumza
katika ibada hiyo, Askofu Makala
aliwataka viongozi waliosimikwa na kuingizwa kazini kuzingatia  taratibu za kanisa katika uongozi wao.

Askofu
Makala pia ametumia fursa kuwakumbusha wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya
Ugonjwa wa Corona na magonjwa mengine yanayoambukizwa kwa njia ya uchafu huku
akiwataka wananchi wa mkoa wa Shinyanga kutumia mvua zinazonyesha kulima mazao
mbalimbali na kupanda miti.

Aidha
ameipongeza serikali kwa kuheshimu na kutoa ushirikiano kwa viongozi wa dini
huku akiiomba serikali kufanyia kazi
ombi la kujenga Uwanja wa ndege, soko la kisasa na stendi ya kisasa
mkoani Shinyanga ili kupiga hatua zaidi kimaendeleo.

Naye
Msaidizi wa Askofu, Mchungaji Yohana Ernest Nzelu aliwashukuru wajumbe wa
halmashauri kuu kumteua kuwa Msaidizi wa Askofu akichukua nafasi ya Mchungaji
Trafaina Nkya ambaye amestaafu huku akiahidi
kulitumikia kanisa kwa kufanya kazi kwa unyenyekevu, utii na ujasiri.

Pai aliiomba
serikali kulitafutia ufumbuzi suala la ukosefu wa ajira kwa vijana wanaotoka
vyuoni.

Kwa upande
wake Mkuu wa wilaya ya Kishapu, Mhe. Nyabaganga Talaba akimwakilisha mkuu wa
mkoa wa Shinyanga, Mhe. Zainab Telack aliwapongeza viongozi wa wapya wa kanisa
na kueleza kuwa serikali inatambua kazi nzuri inayofanywa na viongozi wa dini
ikiwemo kulinda amani ya nchi,kujenga miundombinu ya afya,elimu na kutekeleza
miradi mbalimbali.

No comments :

Post a Comment