Wednesday, February 10, 2021

MATUKIO KATIKA PICHA :WAZIRI MKUU BUNGENI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawe na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt.  Mwigulu Nchemba (kushoto), Bungeni jijini Dodoma, Februari  10, 2021. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kawe,  Askofu Josephat Gwajima, Bungeni jijini Dodoma, Februari 10, 2021.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Janet Masaburi kwenye viwanja vya  Bunge jijini Dodoma, Februari 10, 2021.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko, Bungeni jijini Dodoma, Februari 10, 2021.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

No comments :

Post a Comment