Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Dkt. Mohamed Seif Hatib
nje ya Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma tarehe 19 Januari 2021, baada ya
kufungua Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili. Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya
Marehemu Dkt. Mohamed Seif Hatib Mahali pema Peponi Amin.
No comments :
Post a Comment