Tuesday, February 9, 2021

MAJALIWA ATEMBELEA MAONESHO YA YA NNE YA MIFUKO NA PROGRAMU ZA UWEZESHAJI WANANCHI – ARUSHA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama glass zilizotengenezwa na Bibi  Ameniba Mberwa (kulia) wakati alipotembelea Manonesho ya Nne ya Mifuko na Programu za Uwezeshaji Wananchi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, Februari 9, 2021.  Bibi Ameniba  amewezeshwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii unaoratibiwa na  Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

No comments :

Post a Comment