Friday, January 29, 2021

WAZIRI SIMBACHAWENE AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI, JOSE CANHANDULA, JIJINI DODOMA


Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi(UNHCR), Jose Canhandula akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene na Katibu Mkuu wa wizara hiyo,Christopher Kadio(katikati),alipofika ofisini kwa waziri jijini Dodoma,leo kujadili masuala mbalimbali yanayohusu wakimbizi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akizungumza wakati wa kikao kilichomuhusisha Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi(UNHCR), Jose Canhandula(wapili kulia),Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Christopher Kadio na Mkurugenzi wa  Idara ya Huduma kwa  Wakimbizi, Sudi Mwakibasi(kulia).Kikao hicho kilichohusu masuala mbalimbali ya Wakimbizi  kimefanyika ofisini kwa waziri,leo jijini Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

 

No comments :

Post a Comment