Tuesday, January 26, 2021

WAZIRI MWAMBE ATAJA FAIDA ZA SERIKALI KUKAGUA MAGARI YOTE YANAYOAGIZWA NJE YA NCHI


Waziri wa Viwanda na Biashara, Geoffrey Mwambe akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma leo alipokua akizungumzia suala la serikali kukagua magari yanayoagizwa kutoka nje ya Nchi.
Mkurugenzi wa Udhibiti na Ubora TBS, Lazaro Msasalaga akielezea namna ambavyo wamejipanga kufanya ukaguzi wa magari ambayo yanawasili nchini.

 

No comments :

Post a Comment