Tuesday, January 19, 2021

SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA KAMPUNI YA L NICKEL LIMITED YA UINGEREZA WATIA SAINI MAKUBALIANO YA PAMOJA KUSHIRIKIANA KATIKA UCHIMBAJI WA MADINI YA NICKEL HUKO KABANGA, NGARA MKOA WA KAGERA

Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko na Msajili wa Hazina Bw. Athumani
Mbuttuka (wa tatu toka kushoto walioketi) pamoja na wanasheria
wakishuhudia Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt Adelardus Kilangi na
Makamu wa Rais wa Kampuni ya LZ NICKEL LIMITED ya Uingereza Bw. Chris
Von Chritierson wakitia saini makubaliano ya pamoja ya ushirikiano
kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kampuni hiyo
katika uchimbaji wa madini ya Nickel katika mgodi wa Kabanga wilayani
Ngara mkoa wa Kagera

 

No comments :

Post a Comment