Tuesday, January 19, 2021

RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA UJENZI WA KIWANDA CHA KUSINDIKA MAZIWA NA VYAKULA VYA MIFUGO MJINI KARAGWE

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwa Mkurugenzi wa kampuni ya Kahama Fresh Bw. Jossam Ntageki baada
ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusindika
maziwa na vyakula vya mifugo cha Kahama Fresh mjini Karagwe baada ya
kuweka jiwe la msingi la mradi huo utaondeshwa na mwekezaji huyo mzawa
leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwa na viongozi wengine akisikiliza maeleo ya mradi wa ujenzi wa
kiwanda cha kusindika maziwa na vyakula vya mifugo cha Kahama Fresh
mjini Karagwe kabla ya kuweka jiwe la msingi la mradi huo utaondeshwa
na mwekezaji mzawa Bw. Jossam Ntangeki

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Profesa Elisante Ole
Gabriel akimtambulisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Kahama Fresh Bw.
Jossam Ntageki wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa
ujenzi wa kiwanda cha kusindika maziwa na vyakula vya mifugo cha
Kahama Fresh mjini Karagwe 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwa pamoja na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki akiweka
jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusindika maziwa na
vyakula vya mifugo cha Kahama Fresh mjini Karagwe unaoendeshwa na
mwekezaji mzawa Bw. Jossam Ntangeki

PICHA NA IKULU

 

No comments :

Post a Comment