RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoka katika viwanja
vya Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar baada ya kuwatembelea
na kuwafariji Wanamichezo wa Kundi la MUWAFAKI waliopata ajali ya
kuvamiwa na gari wakati wakiwa katika mazoezi barabara ya migombani
Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi akimfariji mmoja kati ya
Wanamichezo waliopata ajali ya kugongwa na gari katika barabara ya
Migombani wakiwa katika mazoezi, akiwa amelazwa katika Hospitali Kuu ya
Mnazimmoja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali
Mwinyi akiwafariji Wanamichezo waliopata ajali ya kuvamiwa na gari
katika barabara ya migombani wakati wakiwa katika mazoezi Ndg. Sastenesi
Amasi na Ali Abdulla, waliolzwa katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja
Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment