Friday, January 15, 2021

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK. HUSSEIN ALI MWINYI AMTEMBELEA RAIS WA MSTAAF WA ZANZIBAR ALHAJ DKT. SALMIN AMOUR JUMA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua iliyosomwa na Rais Mstaaf wa Zanzibar  wa  Awamu ya Tano  Alhaj Dkt.Salmin Amour Juma (kulia kwa Rais) baada ya kamiliza mazungumzo yao  ya faragha wakati alipomtembelea nyumbani kwake Migombani Jijini Zanzibar leo (Picha na Ikulu)

 

No comments :

Post a Comment