Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari
mara baada ya mazungumzo yao ya pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein
Ali Mwinyi pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif
Shariff Hamad.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais
wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais
wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad mara baada ya mazungumzo yao
katika Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita leo tarehe 14 Januari 2021.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad akizungumza na Wanahabari mara baada ya kikao chao cha pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa amewashika mikono Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi pamoja
na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad mara
baada ya kuzungumza na Wanahabari katika Ikulu ndogo ya Chato mkoani
Geita leo tarehe 14 Januari 2021.PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment