Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kushoto) na Bw Riaz Mawani kwa pamoja wakifungua pazia kuifungua
Hoteli ya Lemersenne Michamvi Wilaya ya Kusini Unguja yenye hadhi ya
nyota tano ikiwa ni katika shamra shama 57 ya Mapinduzi katika hafla
iliyofanyika leo.[Picha na Ikulu] 09/01/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) na Bw Riaz Mawani kwa pamoja wakifungua pazia kuifungua Hoteli ya Lemersenne Michamvi Wilaya ya Kusini Unguja yenye hadhi ya nyota tano ikiwa ni katika shamra shama 57 ya Mapinduzi katika hafla iliyofanyika leo.[Picha na Ikulu] 09/01/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Mkewe Mama
Marium Mwinyi. wakisalimiana na baadhi ya wageni Watalii waliofikia
katika Hoteli ya Lemersenne iliyopo Michamvi Wilaya ya Kusini Unguja
yenye hadhi ya nyota tano wakati alipotembelea sehemu kadhaa mara baada
ya kuifungua Hoteli hiyo leo ikiwa ni katika shamra shama 57 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza kwa
makini Mmiliki wa Hoteli ya Lemersenne iliyopo Michamvi Wilaya ya Kusini
Unguja yenye hadhi ya nyota tano Bw.Riaz Mawani (kushoto) alipotembela
sehemu kadhaa mara baada ya kuifungua Hoteli hiyo leo ikiwa ni katika
shamra shama 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (katikati) Mke wa
Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi.[Picha na Ikulu] 09/01/2021.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mmiliki wa Hoteli ya Lemersenne
iliyopo Michamvi Wilaya ya Kusini Unguja yenye hadhi ya nyota tano
Bw.Riaz Mawani (katikati) alipotembela sehemu kadhaa mara baada ya
kuifungua Hoteli hiyo leo ikiwa ni katika shamra shama 57 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Kaimu Katibu wa Rais Dkt Abdalla
Hasnuu.[Picha na Ikulu] 09/01/2021.
No comments :
Post a Comment