Thursday, January 28, 2021

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA MAWE YA MSINGI UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI NA HOSPITALI ZA WILAYA KAHAMA MKOANI SHINYANGA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipata maelezo kabla ya kuweka jiwe la msingi  la mradi wa Ujenzi wa
Ofisi za Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya
Kahama eneo la Malunga mjini Kahama mkoani Shinyanga leo Alhamisi
Januari 28, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na viongozi wengine akiweka jiwe la msingi  la mradi wa
Ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya
Kahama eneo la Malunga mjini Kahama mkoani Shinyanga leo Alhamisi
Januari 28, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akikagua maendeleo ya mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu
ya Halmashauri ya Wilaya ya
Kahama eneo la Malunga mjini Kahama mkoani Shinyanga baada ya kuweka
jiwe la msingi leo Alhamisi Januari 28, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipata maelezo kabla ya kuweka jiwe la msingi  la mradi wa Ujenzi wa
Hospitali ya Wilaya ya
Kahama eneo la mjini Kahama mkoani Shinyanga leo Alhamisi Januari 28, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na viongozi wengine akiweka jiwe la msingi  la mradi wa
Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya
Kahama eneo la mjini Kahama mkoani Shinyanga leo Alhamisi Januari 28, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika picha ya pamoja na Madaktari na wauguzi baada ya  kuweka
jiwe la msingi  la mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya
Kahama eneo la mjini Kahama mkoani Shinyanga leo Alhamisi Januari 28, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akikagua maendeleo ya mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya
ya Kahama mjini Kahama mkoani Shinyanga baada ya kuweka jiwe la msingi
leo Alhamisi Januari 28, 2021

No comments :

Post a Comment