Makamu
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Seif Gulamali
akizungumza katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Bungeni Jijini
Dodoma, kulia ni Katibu wa Kamati, Ndugu Felister Mgonja. Kamati hiyo
imepokea maelezo kuhusu Muundo na Majukumu ya Wizara ya Nishati.
Wajumbe
wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini wakiwa katika kikao cha Kamati
kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma. Kamati hiyo imepokea maelezo
kuhusu Muundo na Majukumu ya Wizara ya Nishati.
Waziri
wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani akiwasilisha maelezo kuhusu
Muundo na Majukumu ya Wizara yake mbele ya Kamati ya Bunge ya Nishati na
Madini kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.
No comments :
Post a Comment