Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza S. Johari
akizungumza alipokuwa akifungua kikao kazi cha 48 cha Kamati ya Taifa ya
Uwezeshaji wa Usafiri wa anga nchini kilichofanyika katika makao makuu
ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanakamati wa Kamati ya Taifa ya Uwezeshaji wa Usafiri wa anga nchini wakifuatilia hotuba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza S. Johari alipokuwa anafungua kikao kazi cha 48 kilichofanyika katika makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wakiwa kwenye kikao
kazi cha 48 cha Kamati ya Taifa ya Uwezeshaji wa Usafiri wa Anga nchini
kilichofanyika katika makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania (TCAA) leo jijini Dar es Salaam.
Mkutano ukiendelea
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza S. Johari
pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Uwezeshaji wa Usafiri wa Anga
nchini Daniel Malanga wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanakamati wa Kamati
ya Taifa ya Uwezeshaji wa Usafiri wa anga nchini mara baada ya ufunguzi
wa kikao kazi cha 48 kilichofanyika katika makao makuu ya Mamlaka ya
Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA).
No comments :
Post a Comment