Wednesday, January 20, 2021

KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAKUTANA NA WAZIRI WA AFYA



Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dkt.
Dorothy Gwajima akiwasilisha maelezo kuhusu Muundo na Majukumu ya
Wizara yake katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya
Jamii kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo, Mhe. Stanslaus
Nyongo akifafanua jambo katika kikao Kamati hiyo kichofanyika Bungeni
Jijini Dodoma, kulia ni Katibu wa Kamati hiyo, Ndg. Elieka Saanya.
Kamati hiyo imepokea maelezo kuhusu Muundo na Majukumu ya Wizara ya
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.

 

No comments :

Post a Comment