Friday, December 4, 2020

WAZIRI MKUU MH. KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA BANDA LA KIWANDA CHA ASAS DIARIERS IRINGA MAONESHO YA BIDHAA ZA VIWANDANI SABASABA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akimsikiliza maelezo ya  Afisa masoko wa kampuni ya Asas Dairies Ltd ya Iringa Bw Jimmy Kiwelu wakati alipotembelea mabanda katika uzinduzi wa maonesho ya bidhaa za viwandani yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kirwa wilayani Temeke jijini Dar es salaam leo.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akioneshwa pakiti ya maziwa wakati alipokuwa akimsikiliza maelezo ya  Afisa masoko wa kampuni ya Asas Dairies Ltd ya Iringa Bw Jimmy Kiwelu wakati alipotembelea mabanda katika uzinduzi wa maonesho ya bidhaa za viwandani yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kirwa wilayani Temeke jijini Dar es salaam leo

Baadhi ya wananchi mbalimbali wakisikiliza maelezo ya Jimmy Kiwelu wakati alipotembelea banda hilo ili kujionea namna bidhaa za maziwa za kampuni hiyo zilivyo na ubora kwa matumizi ya binadamu.

Picha mbalimbali zikionesha wananchi waliotembelea banda hilo wakioneshwa pakiti mbalimbali za maziwa wakati walipokuwa wakimsikiliza  Afisa masoko wa kampuni ya Asas Dairies Ltd ya Iringa Bw Jimmy Kiwelu wakati alipotembelea mabanda katika uzinduzi wa maonesho ya bidhaa za viwandani yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kirwa wilayani Temeke jijini Dar es salaam leo.

 

No comments :

Post a Comment