Saturday, December 12, 2020

RAIS WA ZANZIBAR DK HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA MMILIKI WA HOTELI YA PARK HYATT IKULU LEO


 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mmiliki wa Hoteli ya Park Hyatt Bw.
Ali Saeed Juma Albwardy (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu  Zanzibar kwa
mazungumzo akiongozana na Ujumbe wake (kulia kwake) Bw. Yakoub Osman
Sadiq, Meneja Mkuu wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar.Bw. Nicolas Cedro na
Meneja Mkuu wa Hoteli ya Melia Zanzibar Bw.Nicolas Konig , wakifuatilia
mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
.12/12/2020.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mmiliki wa Hoteli ya Park Hyatt Bw.
Ali Saeed Juma Albwardy (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu kwa mazungumzo
akiongozana na Ujumbe wake (kulia kwake) Bw. Yakoub Osman Sadiq na
Meneja Mkuu wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar.Bw. Nicolas Cedro,
wakifuatilia mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.
Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mmiliki wa Hoteli ya Park Hyatt Bw. Ali
Saeed Juma Albwardy, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo
yaliyofanyika leo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mmiliki wa Hoteli ya Park
Hyatt kutoka Nchini Dubai  Bw. Ali Saeed Juma Albwardy na (kulia kwake)
Bw. Yakoub Osman Sadiq, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu kwa ajili ya
mazungumzo  na ujumbe huo yaliofanyika leo.

 

No comments :

Post a Comment