Wednesday, December 16, 2020

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA LA MAWAZIRI, RAIS WA ZANZIBAR DKT HUSSEIN MWINYI ALA KIAPO KUWA MJUMBE WA BARAZA HILO LEO JIJINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo Desemba 16, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akimkabidhi nyenzo za kazi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi baada ya kuapishwa kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri  la Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo Desemba 16, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein  Mwinyi baada ya kuapishwa kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri  la Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo Desemba 16, 2020

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiongoza kikao cha kwanza cha  Baraza la Mawaziri  la Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo Desemba 16, 2020

No comments :

Post a Comment