Wednesday, December 9, 2020

RAIS DKT. MAGUFULI AAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI IKULU CHAMWINO DODOMA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akiwapongeza Mawaziri na Naibu Mawaziri baada ya kuwaapisha
Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Desemba 9, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akiwapongeza Mawaziri na Naibu Mawaziri baada ya kuwaapisha
Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Desemba 9, 2020.
WANAWAKE WA SHOKA: Mawaziri wanawake baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  Ikulu
Chamwino, Dodoma, leo Desemba 9, 2020. Kutoka kulia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) na Waziori wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwa viongozi wengine katika picha ya pamoja na Mawaziri  na Naibu
Mawaziri  baada ya kuwaapisha Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Desemba 9,
2020.
 

 

No comments :

Post a Comment