
Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknolojia Mhe. Prof. Joyce Ndalichako na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi
na Teknolojia Mhe. Kipanga Juma Omary wakisalimiana na watumishi wa
wizara hiyo mara baada ya kuwasili katika ofisi za Wizara zilizopo eneo
la Mtumba jijini Dodoma. 
Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknolojia Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na Menejimenti ya
Wizara hiyo mara baada ya kuwasili katika ofisi za Wizara zilizopo eneo
la Mtumba jijini Dodoma.
Waziri
wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Joyce Ndalichako
akisalimiana na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe.
Kipanga Juma Omary mara baada ya kuwasili katika ofisi za Wizara
zilizopo eneo la Mtumba jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Kipanga Juma Omary akisalimiana na Mkurugenzi Uthibiti Ubora wa Shule Euphrasia Buchuma mara baada ya kuwasili katika ofisi za Wizara, zilizopo eneo la Mtumba jijini Dodoma.
No comments :
Post a Comment