Mhasibu Mkuu wa Serikali, CPA Francis Mwakapalila akisoma
hotuba ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka 2020 wa wahasibu na
wakaguzi wa hesabu ulioandaliwa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi
wa Hesabu (NBAA) uliofanyika katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es
Salaam. Mhasibu Mkuu wa Serikali, CPA Francis Mwakapalila alimwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Profesa
Isaya Jairo akizungumzia mafanikio waliyoyapata pamoja na namna
walivyojipanga kusimamia utendaji wa wahasibu na wadhibiti wa hesabu mara baada ya changamoto ya Virusi vya Corona (COVID-19) vilivyoikumba Dunia wakati wa mkutano mkuu wa mwaka 2020 ulioandaliwa na Bodi ya Taifa ya
Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) na kufanyika katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA
Pius A. Maneno akitolea ufafanuzi kuhusu Bodi hiyo inavyofanya kazi zake
pamoja na kujipanga upya kwenye utendaji wa Bodi mara baada ya kutokea
kwa changamoto ya Virusi vya Corona (COVID-19) wakati
wa mkutano mkuu wa wahasibu na wakaguzi wa Hesabu wa mwaka 2020
uliofanyika leo hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wa wahasibu na wakaguzi wa Hesabu wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Mhasibu Mkuu wa Serikali, CPA Francis Mwakapalila aliyemwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango wakati wa
ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka 2020 wa wahasibu na wakaguzi wa hesabu
uliofanyika katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Mhasibu Mkuu wa Serikali, CPA Francis Mwakapalila akipokea zawadi kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya zamani ya NBAA, CPA Simon Sayore(kushoto) wakati wa ufunguzi wa wa mkutano mkuu wa mwaka 2020 wa wahasibu na wakaguzi wa hesabu uliofanyika katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Mhasibu Mkuu wa Serikali, CPA Francis Mwakapalila akiwa
kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wahasibu na wakaguzi wa hesabu
wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka 2020 wa wahasibu na wakaguzi
wa hesabu
ulioandaliwa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA)
uliofanyika katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment