
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi (katikati) pamoja na
Viongozi wengine wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika
sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Maadili na haki za Binadamu
zilizofanyika leo ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini
Zanzibar.[Picha na Ikulu.] 29/12/2020. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi (katikati) akifuatana
na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idriss Kitwana Mustafa na Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Mhe.Haroun Ali Suleiman wakielekea ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil
Kikwajuni Jijini Zanzibar katika sherehe za Maadhimisho ya Siku ya
Maadili na haki za Binadamu zilizofanyika leo.[Picha na Ikulu.]
29/12/2020. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa
Hutuba yake kwa Viongozi mbali mbali katika Maadhimisho ya siku ya
Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh
Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu.]
29/12/2020. 
Baadhi ya Viongozi mbali mbali
wakiwa katika Kilele cha siku ya Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki
za Binadamu katika sherehe zilizofanyika leo ukumbi wa Sheikh Idrissa
Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo
pichani).[Picha na Iklulu] 29/12/2020. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akiagana na
Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi baada ya kumalizika kwa
hafla ya Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu
yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni
Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu.] 29/12/2020.
Baadhi
ya Viongozi mbali mbali wakiwa katika Kilele cha siku ya Maadhimisho
ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu katika sherehe zilizofanyika leo
ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar mgeni
rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).[Picha na Iklulu] 29/12/2020.
No comments :
Post a Comment