Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa
hutuba yake katika mkutano wa kujadili changamoto mbali mbali
zinazopatika katika Mji Mkongwe wa Zanzibar na Wadau wa Mji huo leo
katika Ukumbi wa Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar pamoja na
sababu mbali mbali za kuporomoka kwa Jumba la Kihistoria la beit el Ajab
Wiki iliyopita na kusababisha maafa na hasara kwa Serikali ya
Mapinduzi. [Picha na Ikulu] 28/12/2020. 
Mwandishi wa habari Mwandamizi
akichangia katika mkutano wa Mbali mbali wa Mji Mkongwe uliozungumzia
sababu mbali mbali za kuporomoka kwa Jumba la kibiashara la Beit El Ajab
na njia mbali mbali za kuupa hadhi zaidi mji Mkongwe wa Zanzibar
Kimataifa. [Picha na Ikulu] 28/12/2020. 
Wadau mbali mbali wa Mji Mkongwe
wa Zanzibar wakiwa katika Mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika
kujadili njia mbali mbali za kuboresha Mji Mkongwe wa Zanzibar na sababu
za kuporomoka kwa jengo la Beit El Ajab mwishoni mwa wiku iliyopta.
[Picha na Ikulu] 28/12/2020.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) alipokuwa akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana leo baada ya mkutano na Wadau wa
mji Mkongwe za Zanzibar uliofanyika leo katika Ukumbi wa Idrissa
Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar pamoja na sababu mbali mbali za
kuporomoka kwa Jumba la Kihistoria la beit el Ajab Wiki iliyopita na
kusababisha maafa na hasara kwa Serikali ya Mapinduzi. [Picha na Ikulu]
28/12/2020.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Lela Mohamed
Mussa wakati alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil
Kikwajuni Jijini Zanzibar leo katika Mkutano na wadau mbali mbali wa
Mji Mkongwe ambapo mambo kadhaa ya kuboresha na kuupa hadhi zaidi Mji
Mkongwe wa Zanzibar yalizungumzwa.[Picha na Ikulu] 28/12/2020. 
Baadhi ya Mawaziri wa Wizara mbali
mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Mkutano wa wadau
mbali mbali wa Mji Mkongwe na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ambapo Chaangamoto
na mambo yaliyopelekea kuporomoka kwa Jumba la Kihistoria la Beit El
Ajab wiki iliyopita yalizungumzwa.[Picha na Ikulu] 28/12/2020.
Mawaziri
wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika
Mkutano wa wadau mbali mbali wa Mji Mkongwe na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo
pichani) ambapo Chaangamoto na mambo yaliyopelekea kuporomoka kwa
Jumba la Kihistoria la Beit El Ajab wiki iliyopita yalizungumzwa.[Picha
na Ikulu] 28/12/2020.
No comments :
Post a Comment