Wednesday, November 18, 2020

RAIS WA ZANZIBAR DK.MWINYI AMEFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA LEO MCHANA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.

Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Hospitali Mnazi Mmoja
Jijini Zanzibar  akiwa katika ziara yake ya kushtukiza leo 18/11/2020,
kuangalia hali halisi ya Hospitali hiyo na (kulia kwa Rais) Dk. Khamis
Mustafa.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi  akimsikiliza Mkurugenzi  Huduma Ufundi wa Hospitali
ya Mnazi Mmoja Zanzibar  Eng.Mathna Kassim, alipotembelea chumba cha MRI
  katika hospitali hiyo wakati alipofanya ziara ya kushtukiza leo mchana
18/11/2020.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja
Jijini Zanzibar alipofanya ziara ya kustukiza leo , kujionea hali halisi
ya utendaji kazi  katika hospitali hiyo. (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi
Uunguzi Hospitali ya Mnazi Mmoja Ndg. Haji Nyonje na (kulia kwa Rais)
Dk. Khamis Mustafa, wakati akitembelea sehemu ya mapokezi ya Wagonjwa
katika Hospitali hiyo leo 18/11/2020.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Daktari wa Macho katika hospitali ya
Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar Dk. Slim Mgeni akitowa maelezo wakati wa
ziara yake alipotembelea Kitengo cha Macho katika Hospitali hiyo leo
18/11/2020.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi  akimpa pole mmoja wa wagonjwa waliolazwa
katika Wodi ya Wagonjwa wa ajali katika Hospitali ya Mnazi Mmoja
Zanzibar Ndg. Nassopr Mohammed Khatib alipotembelea wodiu hiyo wakati wa
ziara yake katika hospitali hiyo leo 18/11/2020.(Picha na Ikulu)

 

No comments :

Post a Comment