Wednesday, November 11, 2020

RAIS WA ZANZIBAR DK HUSSEIN ALI MWINYI ALIHUTUBIA BARAZA LA KUMI LA WAWAKILISHI ZANZIBAR LEO.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akilihutubia Baraza la Kumi la
Wawakilishi  Zanzibar  wakati wa hafla ya ufunguzi wa Baraza hilo leo
katika ukumbi wa Baraza Chukwani Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi
Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akilihutubia na kulifungua leo
11/11/2020.(Picha na Ikulu)

MARAIS Wastaaf  wakifuatrilia hutuba ya  ufunguzi wa Baraza la
Kumi la Wawakilishi Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
akilihutubia Baraza leo wakati wa ufunguzi huo wa kwanza Rais Mstaaf wa
Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi. Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.DSkt. Amani
Karume,Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe Dk. Ali Mohammed Shein na Makamu wa
Pili wa Rais Mstaaf Mhe.Balozi Seif Ali Iddi.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali  Mwinyi akisalimia na Spika wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid, alipowasili katika viwanja vya Baraza
la Wawakilishi Chukwani Zanzibar leo .(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi akipokea Salamu ya Heshima kutokwa kwa gwaride maalum
la Kikosi cha FFU wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar leo 11/1/2020.(Picha na Ikulu)

No comments :

Post a Comment