Tuesday, November 10, 2020

RAIS MWINYI AKUTANA NA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akizungumza na Viongozi wa Tume ya Uchaguzi  Zanzibar (ZEC) alipokutana nao leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa kazi ya kufanikisha vyema  Uchaguzi Mkuu uliopita hivi karibuni.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza  Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Fadhil Omar Nondo (aliyesimama) alipokuwa akitoa neno la kumshukuru mbele ya Rais mara baada ya Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa ajili ya  kupongezwa kwa  kufanikisha kusimamia vyema kwa  Zoezi la Uchaguzi Mkuu uliopita hivi karibuni.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Mwenyekiti wa  Tume ya Uchaguzi  Zanzibar (ZEC) Mhe.Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid baada ya mazungumzo na kuishukuru na kuipongeza Tume ya Uchaguzi  Zanzibar (ZEC) leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa  kufanikisha vyema  Uchaguzi Mkuu uliopita 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Viongozi wa Tume ya Uchaguzi  Zanzibar (ZEC) alipokutana nao leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuwashukuru   na kuwapongeza kwa kazi ya kufanikisha vyema  Uchaguzi Mkuu uliopita hivi karibuni.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuwashukuru  na kuwapongeza kwa  kufanikisha kusimamia vyema kwa  Zoezi la Uchaguzi Mkuu uliopita hivi karibuni.[Picha na Ikulu

 

No comments :

Post a Comment